Jali Afya Yako na Familia yako kwa package hii ya Tzs 230,000
Unapata huduma za bima ya Afya kwako wewe na Wategemezi Wako wanne
-Matibabu mpaka milioni 3 ya kulazwa
-Matibabu bila kulazwa mpaka laki 4 na nusu
-Kujifungua mpaka laki 6
Unapata kiinua mgongo ukipata ajali
-Pia ukipata Ajali ukavunjika au kupata kilema Cha kudumu utapata Kiinua mgongo mpaka Sh milioni 2.
-Ukilazwa kwa ajali utapewa pesa Sh 25,000 kwa siku ulizolazwa mpaka siku 30 kwa mwaka 750,000 kurejesha kipato Cha siku ulilazwa.
- Ukifariki kwa Ajali familia yako itapewa Milioni 2
Unapata Pole ya Msiba Sh milioni 1 kwa kila msiba wa
Mwenza mmoja
Watoto mpaka watoto wanne kila mmoja milioni 1